Add a Comment
bonge la pozi
@Alfan kweli bana tulonge kaingia mitini kumbe kwenye ukweli tulonge huwa hana ubishi maana ungemuonea hapo ungeona maandamano yake ila siku hizi karefuka kidogo hahahahahah
Hahahahaha..Safi sana my shem...na mimi alinitumia hii picha..@Angela
lol unafikili simjui ndo boyfriend wangu wa kwanza @ Alfan so niite shemeji from now onn na wewe uliipata hii picha ha ha ha ha
Hahahaaaa... yani hizi komenti mimi hoi.. kwakweli wacha tu niikose hiyo buku dala.. maana naweza vunjika.. hahahaaaa
bora umetengua kauli, maana sisi ni wanywaji na si walevi kama nani hiii.. hahahahaa @ Omary
Hahahahahah Dis ni kweli ulikuwa unaumia shingo kumuangalia Alfan hahahah isee Alfan mtake radhi Dis hana ufupi huo lol.
hahahahahahahahaahaa!! hii ni stail ya mziki wa dance enzi hizo boziboziana yuko juu inaitwa nzawisaa.
hahahahahahaha...hata mimi najishangaa aisee.. Kumbe nilikuwa TALL sana sijui kwanini sikuchezaga Basketball huenda ningekuwa Marekani kama Hasheem..Nakumbuka Dismas alikuwa anaumia shingo sana akiniangalia usoni maana alikuwa ananifikia kiunoni..kwikwikwikwikwikwi@Omari
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge