Tulonge

Mie nilipokuwa mtoto mdogo mwaka 1970. Kushoto ni marehemu bibi mzaa mama, kulia ni ndugu upande wa bibi.

Views: 177

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on April 23, 2014 at 13:46
Ndio mie huyo enzi zangu @ Kunambi Jr. Ha haa haa haaa.......

Asante Bonielly. Ha haa haa....
Comment by KUNAMBI Jr on April 20, 2014 at 10:25

haha haha kumbe ndo ww huyu duuuh

Comment by Bonielly on April 19, 2014 at 23:24

kumbe urembo tangu udogo wako hongera,

Comment by ILYA on March 7, 2012 at 22:59

E bwana hii ni full kumbikumbi! ukiw ana picha kama hii bomba sana unakumbukia sana.

Mkwe kama mwaka huo 1970 ulikuwa kaduchu hivi sijui mimi hapo nilikuwa nalinganaje,hahahahaah!

Comment by Mama Malaika on December 20, 2011 at 14:31

Asante Olivia.. Picha kama hizi zina thamani kubwa sana. Nawashukuru wazee wangu walionitunzia na kunipatia ukubwani

Comment by Mama Malaika on December 20, 2011 at 14:28

Ha haa haa... Alfan si unajua tena utoto. Ha haa haa

Comment by manka on December 16, 2011 at 19:05

dah! aisee sis unajua kutunza kumbukumbu sana, hapo ukijiangalia unacheeka mwenyewe.

Comment by Alfan Mlali on December 16, 2011 at 8:29

Hahahahhaaa! Unaonekana ulikuwa mtundu na mbishi sana enzi hizo!

Comment by Mama Malaika on December 15, 2011 at 15:02

Asanteni Dixon na Belita.

Dixon unaona nilivyokuwa mjanja? Ha haa haaa....

Comment by Dixon Kaishozi on December 15, 2011 at 9:24

Natabasamu tu.. kumbu kumbu nzuri.. Dah.. hapo kwa upande wangu bado sijafikiriwa kabisa kama nitakuwepo.. tehehehehee

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*