Mie nilipokuwa mtoto mdogo mwaka 1970. Kushoto ni marehemu bibi mzaa mama, kulia ni ndugu upande wa bibi.
Tags:
Add a Comment
haha haha kumbe ndo ww huyu duuuh
kumbe urembo tangu udogo wako hongera,
E bwana hii ni full kumbikumbi! ukiw ana picha kama hii bomba sana unakumbukia sana.
Mkwe kama mwaka huo 1970 ulikuwa kaduchu hivi sijui mimi hapo nilikuwa nalinganaje,hahahahaah!
Asante Olivia.. Picha kama hizi zina thamani kubwa sana. Nawashukuru wazee wangu walionitunzia na kunipatia ukubwani
Ha haa haa... Alfan si unajua tena utoto. Ha haa haa
dah! aisee sis unajua kutunza kumbukumbu sana, hapo ukijiangalia unacheeka mwenyewe.
Hahahahhaaa! Unaonekana ulikuwa mtundu na mbishi sana enzi hizo!
Asanteni Dixon na Belita.
Dixon unaona nilivyokuwa mjanja? Ha haa haaa....
Natabasamu tu.. kumbu kumbu nzuri.. Dah.. hapo kwa upande wangu bado sijafikiriwa kabisa kama nitakuwepo.. tehehehehee
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge