Tulonge

muhula wa kwanza tu nikijua mtindo wenyewe ndio huu namuomba mzee anihamishe skuli..

Views: 105

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on March 31, 2012 at 0:53

MANKA hiyo uliyoisema kali. Sasa hiyo karatasi wanayoiandika na kuungaunga wana mudu vipi kukunjua chote humo ndani ya chumba cha mtihani bila kushikwa? Karatasi haitoi kelele? Ama kweli wanafunzi chiboko

Comment by ILYA on February 18, 2012 at 15:41

hii haisaidii,si mtu unamuuliza tu,kama huwezi kuona,!!mishule mingine bwana ni Nouma.

Comment by ANGELA JULIUS on January 26, 2012 at 17:24

DUH HII KALI HATA UKIANGALIA PEMBENI WAPI INAKULA KWAKO NI NCHI GANI HII KAMA SIYO UCHINA VIJIJINI SIJUI?

Comment by Tulonge on January 1, 2012 at 1:23

Nenda kaanzishe huu utaratibu vyuo vya hapa Tz, kama mnahitaji kuona robo tatu ya wanavyuo wana-disco.

Comment by manka on December 31, 2011 at 18:36

CKU HIZI HAWAIGILIZII PEMBENI KWA WENZAO, KUNASTAHILI ZA WASICHANA   KUANDIKA VIBUTI MAPAJANI, BASI MTU ANAJIFANYA ANAJIKUNA MAPAJA  KUMBE ANAPIGA CHABO, WAVULANA WANAVISHINDILIA KWENYE PINDO ZA MASHATI UKIONA MTU ANAJIKUNAKUNA KICHWA BASI ANATAFUTA NAMNA YA KUKITOA. MTU ANAANDIKA MWANZO WA DAFTARI HADI ALIPOISHIA KARATASI ZINAUGWA NDEFU HIZO.

Comment by Alfan Mlali on December 31, 2011 at 18:15

Huyo dogo hapo kati naona ameshakwama maana haandiki kabaki analishangaa karatasi la mtihani...thetheteheteheet!

Comment by chaoga on December 31, 2011 at 17:48

olivia hii ikiletwa bongo kutokana na uchunguzi wangu watapasi asilimia 15 tu .....

Comment by manka on December 31, 2011 at 17:38

we chaoga inaelekea, ulikuwa mpiga chabo sanaeeee. hii ndiyo yenyewe hakuna kujifanya unajikuna mgongo wala nini.

Comment by chaoga on December 31, 2011 at 15:09

sasa mitihani yenyewe ikiwa inafanyika hivi mie si bora nisiingie tu kwenye chumba cha mtihani...wee HISABATI mie ntafanyaje

Comment by Alfan Mlali on December 31, 2011 at 13:19

Hahahahahaaha! hapa manunda hawapati nafasi ya kupiga chabo...teheteheteheteh

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*