Hii kama Mazengo Sec. School enzi zake.
Tags:
Add a Comment
Hahahah we acha tuu picha imenikumbusha mbali sana Natamani enzi zile zirudi lakini wwappiii
Enzi zile bweni huo ugali ulikuwa kuliko Biliani la wali jaa mchuzi juu.
Wakituona mtaani tuki dundika wanafikiri tumetoka mbinguni,
nona ugali wa njano, ni yale mahindi ya njano nn?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge