Tulonge

Hii kama Mazengo Sec. School enzi zake.

Views: 223

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on April 17, 2015 at 13:00
Ha ha haa..... Enzi zile zilikuwa nzuri sana
Comment by Dunda on February 18, 2014 at 23:06

Hahahah we acha tuu picha imenikumbusha mbali sana Natamani enzi zile zirudi lakini wwappiii

Comment by Mama Malaika on February 17, 2014 at 23:16
Lol.... Dunda. Nasikia enzi zako za shule ulikuwa m-babe kweli, wabeba kindoo kimejaa nyama na ugali kiduchuu, huku wenzio waishia pata mchuzi na ugali mwingi. Teh teh teh....

Tulonge - hayo ndi mahindi ya njano.
Comment by Dunda on February 17, 2014 at 22:51

Enzi zile bweni huo ugali ulikuwa kuliko Biliani la wali jaa mchuzi juu.

Wakituona mtaani tuki dundika wanafikiri tumetoka mbinguni,

Comment by Tulonge on February 17, 2014 at 17:52

nona ugali wa njano, ni yale mahindi ya njano nn?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*