Tulonge

Views: 211

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on April 30, 2013 at 20:46

Ha haa haaa.... hivi hamuoni raisi Jacob Zuma, huwa anavua suit na kuvaa kivazi cha kwao (kibwaya na bukta) ili apate kujinafasi anapocheza music. Teh teh teh....

Comment by Mjata Daffa on April 30, 2013 at 17:22

iddie nakuunga mkono 100% ukivasuti usijisahau, suti sio BUKTA tafadhalini vijana msitu dhalilishe wazee wazima tuvaao SUTI.

kusamasoti na suti ni sawa na kuvaa chupi kichwani

Comment by OBED KITALIKA on April 24, 2013 at 12:03

Hebu jaribu kuwaangalia hawa akina dada na tafakari mizuka ilyowapanda huyu wa kulia kwako nguo yake imekumbwa na Tsunami mawimbi kibao.

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 24, 2013 at 11:45

Huyu jamaa mizuka imemuumbua, mambo haya jamani!

Comment by Christer on April 24, 2013 at 11:04

Teh teh teh teh teh

Comment by OBED KITALIKA on April 24, 2013 at 9:02

Geti la Mwananyamala Open

Comment by eddie on April 24, 2013 at 8:43

Ndio ubaya wa suti, usipoieshimu itakuumbua.

Ndio maana watu wenye hekima wanavaa aina ya nguo kutokana na shughuli anayoifanya!

Comment by OBED KITALIKA on April 24, 2013 at 8:24

Mzee Tulonge hii imetokea wapi???

Comment by Samwel Mnubi Masatu on April 24, 2013 at 0:58
utajuuuuta! lazima umlaum fundi alyechona hiyo nguo. kwa habar yako sku hz mafund cherehan wanachona nguo uz mmoja.
Comment by Samwel Mnubi Masatu on April 24, 2013 at 0:55
maneeeno hayooo! ndo asali ya nguo aina ya morinyo

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*