Add a Comment
Kwakweli nitarudi tena very soon. Ngoja kwanza nimalize mazoezi
Safi wadau.Hope ni Arachuga moja hio,waiiiiiiiiiiii.nimepamisijeeee.
Moja moto moja baridi naziona rangi za kijani zilivyo pendezesha meza
Mliinjoi sana babu kubwa
Hahahahaaaa...... Kama ulikuwepo vile.. Dah!!! Zilikua zinakuja utadhani zinaisha kiwandani.. hahahaa.. Kweli mgeni njoo mwenyeji apone!! Karibu tena kaka!!!
Hahhahaaaa naona mtaalam Pascal (Mabagala) anaongoza show
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge