Tulonge

Views: 211

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Jacob Kitalika on September 29, 2011 at 8:58
Mama Malaika kumbe wewe ni wa kitambo, hizo nguo wanazovaa leo zilishavaliwa huko nyuma, hata huyu dada hapo kwenye picha ni miss Tanganyika 1967 akiwa Kilimanjaro Hotel upande wa swimming pool yalikofanyika mashindano hayo mwaka huo. Hapo yuko katika moja ya mavazi ya mashindano. Kwafaida ya wengine uvaaji wa wakati huo hasa baada tu ya uhuru, ulikuwa kama wa wenzetu weupe, nafikiri kila mtu alijaribu kuiga hao weupe. Kulikua na kitu kikiitwa ''way'' kwenye nywele kwa upande wa wanaume (Namna ya uchanaji wa nywele). Hivyo bila kuchakachua huyo ni miss Tanganyika 1967.
Comment by Mama Malaika on September 28, 2011 at 22:00
Mashindano yalikuwepo ila baadaye yalikuja pigwa marufuku na serikali ya kipini hicho kwa sababu zisizozuilika. Walikuwa wakivaa pia nguo fupi lakini sio kama hii ya huyu Miss Tanganyika maana hata picha za mama zetu ukiangalia utaona walikuwa na vimini bomba enzi hizo za 1960s.
Comment by Gray on June 24, 2011 at 8:59
Kumbe mambo haya yalikuwepo tangu miaka hiyo eh!! Ok, basi kama ni hivyo itakuwa maji yamefuata mkondo........
Comment by Lutamyo J. Kingdom on June 16, 2011 at 9:38
Yalikuwepo mashindano hayo ila pc hii nadhani ilikuwa ya disco.... maana yalifanyika kama mara moja tu hivi??
Comment by Lilian on June 12, 2011 at 2:29
Hii kali
Comment by rama on June 10, 2011 at 8:52

sidhani kama iliruhusiwa kwenye mashindano washiriki wawe wanavaa blouse tu

 

Comment by Severin on June 9, 2011 at 21:28
Ni kweli mwaka 67 walikuwa wakivaa nguo fupi hv?Sidhani kama wazee wa enzi hizo wanguruhusu.Kwanza sidhani kama kulikuwa na mashindano ya umiss kipindi hicho Tanganyika.Ila ana mapaja mazuri kweli

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*