Huyo jamaa akigundua kuwa kachora nnzi badala ya farasi mwenye mabawa..sijui itakuwaje???
Tags:
Add a Comment
Hahaahhaaa unajua unaweza ukafa kwa kuingilia kazi usizo ziweza.
Hahahahaaa.. huyo binti hajajua kitakachotokea badae... namuonea huruma.. hahahaaa
hahahahahaha! Yaani nimecheka mpaka mbavu zinauma....nadhani hata Bright anamshinda kuchora!!!
Hahahaaaa huyo binti hajui kuchora nn, mbona kama anachora mnyama halafu anamuwekea mabawa hahahhahaaaaaa
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge