Kutokea kushoto: Fatuma, Kamaliyah, Mama mzaa wema, Kawthar
Tags:
Add a Comment
Hongera mkuu, naona una warembo wa kutosha. Huyo mdogo kabisa usimpe kidume yoyote.Nitakupa sababu siku nyingine.
Hongera kaka!!!
Waooh,nice familly,Naona hapo home una warembo wote,kuanzia mama na wanae.
Hilo ondoa shaka kabisa@Kisusi
Hongera sana Kisusi, watoto wamependeza.
Alfan mpatie Fatuma na Kamaliyah, sie wetu Kawthar. Sie ada tunayo tena bora tumchukue mapema ili akifisha 18 aanze first degree, na baada ya miezi 36 aunganisha masters. LOL......
Duh! Ama kweli siku hazigandi. Kawthar amekua mdada wa nguvu mkubwa. Ana miaka mingapi sasa?
naona wanasherehekea birthday,
Ahsante Alfan, ila uje na ada ya masters, mi nahakikisha wana first degree, ukiwapeleka masters basi nakuachia mwanao ajichagulie!
Hongera sana mkuu..Umebarikiwa kupata warembo watupu natumaini wanangu watapata wachumba hapa...hahahah
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge