Kama kawa, mimi nilikua mpiga picha.
Tags:
Add a Comment
hahahaaa.... Yani tulonge umeshindwa kufanya editing kuficha nyeti zetu? Ila Christer katia fora, maana sielewi kama ni mtoto au mtu mzima.. HAH AHAHAHAA
Yaani mm kila nikimtazama Christer Mbavu sina,Bonielly tumbo sijui imekuaje au kashashiba mafenesi tayari,Dixon nae mambo hadharani haha haha haha
Hii picha yachekesha sana... Bonielly na Dixon chupi wapi? au zilikuwa zimeloa mkojo zikatupwa?
Gratious sikubali 1.79
hahahaaa... Nilikuwa sijapita pande hizi... Huu ni utani wa ngumi kabisaaaaaaaaaaa.. Ila nilikuwa mjanja toka utoto.. si unaona ninabakora hapo ? atakaye bisha nacharaza tu... hahaha christer we mkali... umetoka bomba mbaya!! we na Don M kama mapacha vile na pamba zenu.. hahahaa.. Angela na hilo kanzu mi hoi.... uwiiiiiii, Naona Alfan alikuwa anataka akae mbele.. teheheheee.. Mama Malaika na malaika mmetia fola... hahaaa...
cha ajabu hizi sura kutambua mvulana na msichana ni kazi... hahahahaa
Haaa Mama malaika ....179
Dismas naona umeishiwa adabu... baba yako kasema akija lazima akutie bakora baada ya kuona unaniweka mdogo wakati nimewazidi wote, siamini hadi Gratious anizidi urefu.
Hahahahhhhhahhaaaaaaaaaa @ KUNAMBI, nakusemea kwa ALFAN
uwiiiiiiiiiiiiii halafu ulikua mweusi kama chungu cha kupikia mashelisheli na Magimbi ya Moro,hah hah Christer
Hahahahahahahahahahahahahahahaaa Kunambi na Dis mnanitafuta cha moyoni nyie, lol!!!!!!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge