Add a Comment
Hiyo ya ku-forge. Yaani anakuwa mweusi kuliko watu wenye weusi wenyewe toka Afrika!
haya bhana
Nimetafuta sana habari kamili kuhusu picha hii lkn nimekosa. Ndomaana nikaitupia hapa kwenye photos bila maelezo. Kutokana na taarifa chache nilizopata, huyu ni mpakistani ila sina hakika kama kuna kitu alijipaka au ni ngozi yake. Ila huu weusi siyo wa kawaida aisee
Weusi wake unaniacha na maswali lukuki
black beauty imetulia! kazi kwenu vidume.
Mr. Tulonge leo uvumbuzi wako umenigusa, huyu binti anapatikana wapi? kama ni hapa bongo tuambie?
huu ni ule mdoli wa kuoneshea nguo banaaaaaa
@ tulonge
Mmmh!!
Cheusi dawa lakini dawa hii muarobaini mkali zaidi!
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge