Comment by Mama Malaika on October 9, 2013 at 15:04
Halafu weeee Dismas umetubania, leo ndio waamua weka. Waogopa kuitwa mkwe?? Teh teh teh....
Comment by Mama Malaika on October 9, 2013 at 15:02
Dismas una bonge la handsome. Hapo mtaani kwenu vijike vitakoma. Halafu hilo pose lake laonyesha ni mtundu sana. Naona unakoma ubishi. Ha haa haa haaaa......
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge