Add a Comment
Hahahhahhahha safi sana angela
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.. Mbavu sina Jamani.. SASA Cha ulikuwa unataka kukaa kabisa usisogee au? Kama Angela alikunasua hapo basi hata mimi nisinge jaribu.. hahahaaa... The best pic ya kuvuta kamba!! Hongera sana
hahahahhahahahha! Pamoja na kujikaza huko koooote lakini mwishoni CHA alivutwa na Angela...tehetheteheeteh1
Duh,,,ahahah ndo maana anaitwa The Great inaelekea mbishi huyo kama jahazi la wareno...tehteh
Cha hadi mfupa wa shingo unaonekana, tena unataka kuchomoka hahaahahhahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa. Aisee nilifurahi sana.
Hahhahahhaaaaaaa yani Cha unatumia mabavu hivyo wakati unashindana na mdada
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge