Add a Comment
wanataka wajisifie bule kwamba wanawake wanaweza, dis ulimchanganya na mapouda yako kapagawa mpaka nguvu zikamuishia lkn cha haangalii mapouda yako,
hapa inaonesha angela alichemka ha ha ha ha haaaaaaaaa kweli cha kidume cha shoka
HA HA HA HA HAPO HATIMAYE NILIMVUTIA KWANGU MWELEKA CHINI HADI AKAONA AIBU AKAKIMBIA
Ha haa haa haaa... Dismas unanivunja mbavu. Hii picha imenikumusha ile picha ya wana Judoku uloiweka siku za nyuma.
Pole sana Cha The Great.
Duuuh! Angel we ni noma, naisi siku hiyo ulikunywa supu ya maharae na ugali wa nguvu hasubui, cheki ulivyo gangangamala yani hutikisiki wakati mwenzio ulimi nje, tehe-tehe-tehe.
Tehe tehe tehe Gratious, umenivunja mbuva...oh sorry, I mean mbavu.
HAMUWEZI AMINI HAPO NILIMVUTA CHA HANA HAMU NA MIMI CHEZEA MTOTO WA KIHABESHI HA HA HA
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge