Tulonge

tulonge simama wewee ..aliekwambia uende kwa mganga upendwe nani...!!?

Views: 122

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on March 22, 2012 at 13:32

hahahaaaaa !! dis utakoma, simama sasa.

Comment by ANGELA JULIUS on March 21, 2012 at 16:28

ha ha ha Dismas halafu kafanana na mdogo wangu Malaika lol manake gauni kama lile alilopiga nalo picture na baba.

Comment by Tulonge on March 20, 2012 at 22:03

Huyu lazima amkamate,si unaona alivyo na hasira naye.Halafu ana mbio balaa, nadhani dawa ilimkolea sana.

Comment by ANGELA JULIUS on March 20, 2012 at 16:34

DUH NUKSI BADALA YA NEEMA LOL KAZI  KWELIKWELI

Comment by Bonielly on March 20, 2012 at 15:00

Daaaaaaaaaaaaaa, akisimama amekwisha hilo so, kimbia mwanangu msala huo ukikulalia umekwisha,

Comment by chaoga on March 20, 2012 at 10:56

HA HA HA KIJANA KAKOSEA MASHARTI SIO DUUH BASI BALAA @DIXON

Comment by Dixon Kaishozi on March 20, 2012 at 10:09

Hahaaa.., hiyo ndiyo shida ya kukosea masharti... hahahaa

Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on March 19, 2012 at 20:22

Kazi kweli kweliiiii

Comment by ILYA on March 19, 2012 at 20:14

Hahahaha,hapa inaonekana atakae mtia mikononi ndie huyo huyo atafanikiwa kuwa bibi Harusi.!

Comment by eddie on March 19, 2012 at 19:16

Dis usiniangushe mkuu, huko Kigamboni unakoishi nina binamu zangu kibao, na ninajua kwamba kuna nazi nyingi na kungu. Hawa lazime ule nazi na kungu watakukoma, na game linageuzwa wewe utawakimbiza sasa! Hhahahahahaha!

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*