Tulonge

Mwanamama mjane wa ki-Libya naye mtaani akitungua ndege za Gadafi

Views: 161

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on April 19, 2014 at 23:32

hawa ilibidi waweze maana imeshafikia kuwa hivyo,

Comment by Mama Malaika on November 11, 2011 at 14:55

Dismas ngoja nitakuonyesha manati yangu ila usiniombe. LOL.... 

Comment by KUNAMBI Jr on November 11, 2011 at 10:27

kashazoea kuwinda ndege kwao tosa maganga huyo teh teh Dis manati duuh?

Comment by Mama Malaika on October 25, 2011 at 14:24
Dismas unanivunja mbavu... eti manati.
Comment by Mama Malaika on October 25, 2011 at 13:13
Hadi mwanamke wa kiislamu kuamua kuingia mtaani na kukubali kupigana ujue hapo wa-Libya walikuwa wamechokaaaa
Comment by CHA the Optimist on October 24, 2011 at 17:56
Mh!
Comment by Tulonge on October 24, 2011 at 17:45
Mama mimi labda uniletee MANATI, ila hiyo hapana.
Comment by KUNAMBI Jr on October 24, 2011 at 7:37
khaaaa kweli wameamua
Comment by Mama Malaika on October 23, 2011 at 23:24
Huyu mama pichani alivyoikamatia AK-47 hadi wanaume wanamshangaa. Tulonge ukipewa hiyo nafikiri mlio wake tu utakufanya udondoke chini na kuzimia

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*