Tulonge

1987 morogoro, otea mie ni yupi kati yao hapo

Views: 103

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on March 31, 2012 at 0:45

Ha haa haa haaa.... Chaoga uko kushoto. Hapo hata harufu ya bia ulikuwa huijui. Na huyo wa katikati uliyevaa naye sare nyeupe ndiyo yule pacha wako nini?

Comment by ILYA on March 19, 2012 at 1:03

Hahahaha,Chaoga kaka@,

Inaonekana kaka kule maeneo ya utoto wako ulikuwa mtu mpole sana,yaani Full baridi!.

Safi sana nimependa sana piki hii.

Comment by Tulonge on March 18, 2012 at 21:27

Hahahhaaaa  wewe ni huyo wa kushoto.Hapa inaelekea ulishaanza kudai kununuliwa bia. Huyo mwenye miwani inaelekea ni bonge sana kwa sana.

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*