Tulonge

Hii ilitokea huko Kenya,cjui alifanya nini mwanamke wa watu.

Views: 220

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Silas A. Ntiyamila on September 7, 2011 at 18:24

Huwezi jua huyo jamaa yake alikuwa Pombe mbaya, hadi akashindwa kujizuia.

 

Comment by Mama Malaika on September 7, 2011 at 5:14
Kuna watu wakatili sana dunia hii. Anampiga hivyo hadharani, je wakiwa humo chumbani mwao si ndio balaa?
Comment by Mama Malaika on September 7, 2011 at 5:11
Dhambi sana. Halafu ukute huyo bwana ni mshika dini na muhudhuriaji mzuri wa Kanisani/msikiti. Watu kama huyu ndio wanawapa sifa mbaya wanaume
Comment by eddie on September 6, 2011 at 16:30

Huyu jamaa ni bora apimane nguvu na Mike Tyson. Yaani mwanamke ameumbwa kwa ubavu wetu, hapo ni sawa na kujipiga mwenyewe.

Ni bora nguvu hizi azipeleke kupasua kuni! Itakuwa na faida zaidi kuliko baadae kuona ngeo baada ya kipigo!

Comment by KUNAMBI Jr on September 6, 2011 at 14:06
hii haifai kabisaaaaaa
Comment by Silas A. Ntiyamila on September 6, 2011 at 12:24
Tatizo dadazetu nao hawana simile kwenye mdomo ndo maana wananyanyasika vya kutosha!!!!
Comment by Dixon Kaishozi on September 6, 2011 at 8:19
Eti unajidai kuuliza Mzigo gani... hahahaaa
Comment by Tulonge on September 6, 2011 at 2:25
Mzigo gani Dixon? Teh! Au mzigo wa kuni?
Comment by Dixon Kaishozi on September 5, 2011 at 21:22
Kinacho nishangaza baada ya hapo anataka tena "mzigo" sasa sijui inakuwa vipi ?
Comment by Severin on September 3, 2011 at 23:33
Kuna mijitu haina huruma hata kidogo,mimi SIWEZI mpiga mke/dem wangu hivyo.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*