Add a Comment
Hatayyi lakini salama
@Christer huyu angeweka na mdomoni baada ya dakika tano angeshapelekwa Muhimbili ...hapo lazima aache tobo moja kama exhaust pipe/hole.
Huyu anatafuta pesa ya kula kama entertainer ameamua ku-risk maisha yake ili mkono uende kinywani! Bora afanye hivi kama hana uwezo mwingine kuliko kumuibia mtu jamani!
Maisha magumu!!!
Hili ni boksi!!!
Bado moja, mdomoni.
mi naona hayuko sawa crazy ndo nini sasa stupid thing
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge