Tulonge

Views: 205

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on March 1, 2014 at 13:40
Maisha haya jamani..... Hapo wakuta mwingine analipwa laki 5 kwa siku huko bungeni, ukija mtaani mwengine ana-risk maisha yake ili mradi tu apate ingalau hela ndogo ili asilale njaa.
Comment by Dunda on March 21, 2013 at 19:03

Hatayyi lakini salama

Comment by eddie on March 18, 2013 at 9:34

@Christer huyu angeweka na mdomoni baada ya dakika tano angeshapelekwa Muhimbili ...hapo lazima aache tobo moja kama exhaust pipe/hole.

Huyu anatafuta pesa ya kula kama entertainer ameamua ku-risk maisha yake ili mkono uende kinywani! Bora afanye hivi kama hana uwezo mwingine kuliko kumuibia mtu jamani!

Maisha magumu!!!

Comment by Dixon Kaishozi on March 18, 2013 at 9:15

Hili ni boksi!!!

Comment by Christer on March 18, 2013 at 8:16

Bado moja, mdomoni.

Comment by richard makoi on March 17, 2013 at 18:01
huu ni ujinga
Comment by Nicholaus Dawson Kagine on March 17, 2013 at 17:03
kweli huu ni ujinga uliopitiliza
Comment by Samweli Joseph on March 17, 2013 at 14:37

mi naona hayuko sawa crazy ndo nini sasa stupid thing

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*