Tulonge

Chocolate hii ilihusika kwenye tukio moja kubwa sana

Views: 141

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on October 13, 2013 at 8:45

-Hapo alishakula ya aina nyingine kwa usongo wote.Maana huwa nampa mara chache chache sana chocolate, sipendi azoee hayo makitu@ Mama M

-Mary mi naona amenizidi ujanja, mtoto ni balaa huyo

Comment by Wa Kimberly on October 12, 2013 at 22:37

Dogo anaonekana mjanja huyu kama babake.ha ha haa

Comment by Mama Malaika on October 12, 2013 at 12:39
Mbona Ian Wright shavu limejaa chocolate au ilimyayukia mkononi ikaishia kujipaka shavuni? Ha haa haa haaa
Comment by Mama Malaika on October 12, 2013 at 12:33
Ha haa haa haaa... Wanikumbusha mtoto Elliot (4) na Mars bar chocolate alopewa na gaidi baada ya kulikolomea.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*