Add a Comment
wananikumbusha shule ya msingi, kaka chaoga acha mkwara mbona wewe ulikuwa unawanyatia watoto wa wenzio? nani kakupiga mtama au kata funua? mwanao akikuwa utastahili kuitwa babu,
Duh hustadh kapigwa mtama lakini msuli uko ngangali
Hahahahhahhahahah Chaoga umenichekesha. Mimi nimeshaandaa mishale yangu kama 90 hivi na upinde madhubuti sana.
Ha ha ha ha hii staili ntaitumia kwa masharo uharo watakao kua wanamzengea binti yangu teh teh teh
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge