Tulonge

Views: 151

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Wa Kimberly on March 23, 2013 at 22:04

Kweli sipati picha atakavyo chomoka hapo kwenye hilo beseni maji yatakavyoanza kupata moto,kama yeye bingwa angefunikwa na mfuniko kama hao chura anaosema dixon,ha haaaaa

Comment by Dixon Kaishozi on March 22, 2013 at 12:19

hahahaa.. Eeeh . kama Chura!! kuna ndugu zangu wa mkoa flan... sorry siukumbuki.. hahahaa

walikuwa wanakula wale chura WAKUBWAAAAA!!!! wanatoka kipindi hiki cha mvua.. huwa wanajificha hasa aridhini.. sawa wanapowatengeneza kwa kitoweo.. huwaweka kwenye chombo kikubwa chenye maji alafu wanafunika mfuniko tena wanaweka tofali kwa juu.. maji yakianza kuchemka.. basi linaanza kupiga huo mfuniko kutaka kutoka lakini ndo hivyo.. 

Comment by Tulonge on March 21, 2013 at 21:46

teh teh teh ataruka kama chura siyo?@ Dixon

Comment by Omary on March 21, 2013 at 21:35

Hata kichaa anaogopa moto sasa sijui huyu nimuiteje? maana huyu hana tofauti na yule anakata tawi la mti alilokalia bila kujuwa akimaliza kulikata atadondoka nalo.

Comment by Dunda on March 21, 2013 at 19:00

Anajichemsha hali ya kuwa ana manyoya 

Comment by Dixon Kaishozi on March 21, 2013 at 16:09

Bado moto haujakolea... ataruka mwenyewe kama chura!!!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*