Tulonge

ushatembea masafa marefu na tumbo linapwaya umeibuka anga kama hizi umekuta chips na mambo haya inakuwaje?

Views: 137

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Ramadhan Ahmard on January 23, 2011 at 17:48
Mtwara bomge la biznez!!!
Comment by kadir msuya on November 15, 2010 at 7:05
si unakula lakini usishibe, kutuliza njaa tu, utafanyaje na wewe una njaa!!1
Comment by Tulonge on November 8, 2010 at 21:53
Duh! wagogo mpoo? Mambo ya 'fudii'
Comment by Oswald on November 8, 2010 at 20:24
Jamani hawa si ni panya!!! du! ila kwa ndugu zangu wa kusini....makondeziiiiiiiiiiiiiiiii!!!! ukamtengenezea hawa jamaa kwa ugali!!!! da!! ni sawa na mchaga na ubwabwa wa nyama......
Comment by chaoga on November 8, 2010 at 8:21
safi saaaana wameandaliwa vizuri mno naona... hao ukipata na ugali ...

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*