Tulonge

msongamano kwenda bus stop & train station. Msongamano huu ukiwa Kariakoo au posta lazima mtu mmoja aibiwe na vibaka

Views: 179

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on April 19, 2014 at 23:03

sio mtu mmoja sima watu 50 lzm walie yani hapo kwa mateja ni neema, kila siku lzm watimbe, maana kuna neema ya kutosha,

 

Comment by Mama Malaika on September 6, 2012 at 23:34

Mke mwenza, kuna maeneo ya London kuna vibaka (kuliko na weusi wengi na wazungu pori wala unga), wanaiba na kuuzia weusi vitu ili wapate pesa kununulia drugs

Comment by Christer on August 9, 2012 at 10:45

SAFI SANA, NO Mwizi no Kibaka!

Comment by Mama Malaika on August 2, 2012 at 15:29

Ha haa haa haa...... Chaoga yako kali. Ila hakikisha vijana wako wasishikwe kwani huko mahabusu watapewa kibano/makonde na watoto wa kihuni wa kiingereza weusi.

Comment by Mama Malaika on August 2, 2012 at 15:26

Dismas... nasikia baadhi ya miji ya south Africa vibaka wanavua watu viatu na kuondoka navyo, kisa kuuza ili wapate pesa nunulia madawa ya kulevya. Ile nchi balaaa.....

Comment by Tulonge on August 2, 2012 at 7:18

Mmmh! Tawonga huko kwenu ni noma. Inabidi mtembee na simu za sh.20,000.

Comment by chaoga on August 1, 2012 at 15:10

inabidi niwatume vijana wangu waje huko,

Comment by Mama Malaika on July 31, 2012 at 16:50

hapo ilikuwa usiku saa 3 na watu tulikuwa na wallet zenye pesa na bank cards mifukoni, simu mikononi wengine masikioni, camera mabegani na viji bag migongoni vina vitu vya thamani lakini wala huna hofu kusema utaibiwa.

Comment by ANGELA JULIUS on July 31, 2012 at 16:29

LOL UNASEMA MMOJA HAPO INAKULA KWA WENGI KWANZA SI AJABU HAO HAPO WENGINE WAMEIBIWA TAYARI HAWAJUI TUU

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*