Tulonge

muenekano wa uwanja wa Olympic. Wametumia low carbon concrete (zege) lililotengenezwa toka kwenye uchafu wa viwandani kujengea majengo yote ya Olympic Games hadi footpaths na car parking. Eneo hili lote lilikuwa open space kumwagia takataka lakini limejengwa vizuri for Olympic na kuwa kiji-mji

Views: 113

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on August 9, 2012 at 10:51

Ni kweli mkwe, Dar sehemu nyingi zinazoitwa mjini, zinanuka kwa takataka wakati wa jua, wa mvua ndo balaa kbs.

Comment by Mama Malaika on July 31, 2012 at 16:58

Ha haa haaa.... ANGELA tunacheka kama mazuri vile, mfano Dar ingekuwa mbali sana kuliko kuacha takataka kuozeana na kunukisha jiji

Comment by ANGELA JULIUS on July 31, 2012 at 16:30

ANGELA SINA MBAVU LOL MAMA MALAIKA AND DIXSON

Comment by Mama Malaika on July 31, 2012 at 12:12

Kweli kabisa Dixon, tungekuwa mbali sana. Tatizo wengi tuna mawazo finyu, mtu akija na idea kama hii tutamponda na siajabu tutasema ni freemason. LOL.....

Comment by Dixon Kaishozi on July 30, 2012 at 8:29

kwa teknologia hiyo basi hapa kwetu na taka tulizo nazo tungekuwa mbali sana!! Tunahitaji ujuzio huo.

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*