Tulonge

Dismas na wote karibuni

Views: 101

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on September 28, 2012 at 23:25

Tawonga, hiyo ya majani ndugu yangu siijui, wanauza kwa wahindi viko kidogo kufanana na tembele. Na pia hiyo nyeupe ni mhogo.

Comment by Mama Malaika on September 28, 2012 at 23:24

Dunda wahi usichelewe maana samaki mtamu huyo kuzidi wa ziwa Nyasa. Ha haa haa haa...

Comment by Mama Malaika on September 28, 2012 at 23:22

Mate yasiwadondoke Dixon & Dismas, karibuni tule.

Manka umepatia huo muhogo mtamu usisikie, umetoka Ecuador (south America).

Comment by manka on September 28, 2012 at 17:02

duh!! muhogo huo umekaa vizuri sana natamani ningekuwa karibu.

Comment by Dixon Kaishozi on September 28, 2012 at 8:50

Mate mate...... ukisikia wale ndugu zangu wapare wanakula ugali kwa picha ya samaki ndo yalionikuta!!! hehehehee

Comment by Dunda on September 27, 2012 at 17:30

Na wote ndio nani tena?

Naomba uniweke kwenye kabati la mbehoo nakuja

Comment by Tulonge on September 27, 2012 at 10:42

Duuh! mama naona tunatamanishana sasa. Hiko chakula cheupe ni nn? nilidhani ugali

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*