msongamano kwenda bus stop & train station. Msongamano huu ukiwa Kariakoo au posta lazima mtu mmoja aibiwe na vibaka
Tags:
Add a Comment
sio mtu mmoja sima watu 50 lzm walie yani hapo kwa mateja ni neema, kila siku lzm watimbe, maana kuna neema ya kutosha,
Mke mwenza, kuna maeneo ya London kuna vibaka (kuliko na weusi wengi na wazungu pori wala unga), wanaiba na kuuzia weusi vitu ili wapate pesa kununulia drugs
SAFI SANA, NO Mwizi no Kibaka!
Ha haa haa haa...... Chaoga yako kali. Ila hakikisha vijana wako wasishikwe kwani huko mahabusu watapewa kibano/makonde na watoto wa kihuni wa kiingereza weusi.
Dismas... nasikia baadhi ya miji ya south Africa vibaka wanavua watu viatu na kuondoka navyo, kisa kuuza ili wapate pesa nunulia madawa ya kulevya. Ile nchi balaaa.....
Mmmh! Tawonga huko kwenu ni noma. Inabidi mtembee na simu za sh.20,000.
inabidi niwatume vijana wangu waje huko,
hapo ilikuwa usiku saa 3 na watu tulikuwa na wallet zenye pesa na bank cards mifukoni, simu mikononi wengine masikioni, camera mabegani na viji bag migongoni vina vitu vya thamani lakini wala huna hofu kusema utaibiwa.
LOL UNASEMA MMOJA HAPO INAKULA KWA WENGI KWANZA SI AJABU HAO HAPO WENGINE WAMEIBIWA TAYARI HAWAJUI TUU
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge