Kila watu na tamaduni zao. Walimbwende wa ki-Caribbean wakiwe kwenye Notting Hill Carnival, inayofanyika kila mwaka jijini London-UK (mwezi August)
Tags:
Add a Comment
Mbona huyo mdada wa kushoto kashika kitambaa kama bendera ya kitz?
tehe tehe @Dixon mimi wala picha haijanigusa ni ukweli mtupu wanawake wa kihaya wana maumbo makubwa tofauti yao na wchaga ni kwamba wao wamejazia inyee!!
Dismas... huyo bibi akipelekwa bongo kwenye mnanda/mchiriku au mdundiko yaelekea watamshikia mbali. LOL.....
Omary.. wabibi wa huku sio kama mama zetu/wabibi wa Tanzania au Africa. Black British uzao wa Caribbean mambo ya kulea wajukuu mwiko labda siku chache chache tu wanapopenda kucheza na wajukuu zao, umri huo wa huyu bibi wakuta mabibi na mababu wanapumzika na kuvuta pension yao taratibu baada ya kufanya kazi miaka mingi na kutumia muda mwingi kulea na kusomesha watoto wao ambao sasa wamekua wakubwa
huu ni udhalilishaji na hawa wakina mama hawajiheshimu kuna umli unafika mambo kama haya yanatakiwa yakupite sasa kama huyu mama anaemsema Dismas asingekuja hapa wala yasingemkuta
unaenda wapi? na utuuzima huo? ungebaki nyumbani ulee wajukuu yaani me mpaka wananichefuwa heshima iko wapi? kesho unamkuta mtaani utamuheshim kweli? mtu kama huyu, me angekuwa hata dadaangu nisingeruhusu afanye ujinga huu
Hivi huyo bibi kulia anacheza mziki? huo mziki alikua anausikia peke yake? mbona wenzake hawaonekani kama wanacheza?
Dixon... naona unamkumbuka Malafyale (Anangisye). Ha haa haaa.... Ila kusema kweli, huyo mdada wa kwanza kushoto hiyo figure yake imejaa uzuri utasema katokea Kagera au Tabora.
- Mama Manka.. Ha haa ha haa.... Dismas ana macho yanayopenda vya kung'ara maana huyo mdada anayemsema ni cheupe.. wasukuma wanasema wapeeee. Ha haa aa haa....
- Dismas naona huyo bibi kakukera kweli. Ha haa haa...
Hahahaa.. Wote wanao waponda WAHAYA.. ILE PICHA IMEWAGUSA!!! HAHAHAHAAAA... ukweli unajulikana.. pole Dismas.. Manka ndo umenimaliza kabisa kwa kupigia mstari eti wahaya.. AHAHAHAHAHAAA
teheteheee@Dismas Mama Malaika umemsikia Dismass ameona hicho kifaa hapo mbele ya huyo bibi.
Kuna kifaa kimoja nadhani hamjakiona. Na chenyewe kimeshika bendera mkono wa kushoto ina rangi ya njano na kijani.Ni kazuri balaa, nadhani kamefunika wote hapo.
Huyo bibi wa kulia ananitisha kweli.Yani haeleweki, tumbo liko wapi na kiuno kiko wapi.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge