Tulonge

Kila watu na tamaduni zao. Walimbwende wa ki-Caribbean wakiwe kwenye Notting Hill Carnival, inayofanyika kila mwaka jijini London-UK (mwezi August)

Views: 329

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on April 19, 2014 at 22:45

Mbona huyo mdada wa kushoto kashika kitambaa kama bendera ya kitz?

 

Comment by manka on February 18, 2013 at 13:55

tehe tehe @Dixon mimi wala picha haijanigusa ni ukweli mtupu wanawake wa kihaya wana maumbo makubwa tofauti yao na wchaga ni kwamba wao wamejazia inyee!!

Comment by Mama Malaika on February 15, 2013 at 15:51

Dismas... huyo bibi akipelekwa bongo kwenye mnanda/mchiriku au mdundiko yaelekea watamshikia mbali. LOL.....

Omary.. wabibi wa huku sio kama mama zetu/wabibi wa Tanzania au Africa. Black British uzao wa Caribbean mambo ya kulea wajukuu mwiko labda siku chache chache tu wanapopenda kucheza na wajukuu zao, umri huo wa huyu bibi wakuta mabibi na mababu wanapumzika na kuvuta pension yao taratibu baada ya kufanya kazi miaka mingi na kutumia muda mwingi kulea na kusomesha watoto wao ambao sasa wamekua wakubwa

Comment by Omary on February 15, 2013 at 1:42

huu ni udhalilishaji na hawa wakina mama hawajiheshimu kuna umli unafika mambo kama haya yanatakiwa yakupite sasa kama huyu mama anaemsema Dismas asingekuja hapa wala yasingemkuta

unaenda wapi? na utuuzima huo? ungebaki nyumbani ulee wajukuu yaani me mpaka wananichefuwa heshima iko wapi? kesho unamkuta mtaani utamuheshim kweli? mtu kama huyu, me angekuwa hata dadaangu nisingeruhusu afanye ujinga huu

Comment by Tulonge on February 14, 2013 at 20:17

Hivi huyo bibi kulia anacheza mziki? huo mziki alikua anausikia peke yake? mbona wenzake hawaonekani kama wanacheza?

Comment by Mama Malaika on February 14, 2013 at 17:19

Dixon... naona unamkumbuka Malafyale (Anangisye). Ha haa haaa.... Ila kusema kweli, huyo mdada wa kwanza kushoto hiyo figure yake imejaa uzuri utasema katokea Kagera au Tabora.

Comment by Mama Malaika on February 14, 2013 at 17:04

- Mama Manka.. Ha haa ha haa.... Dismas ana macho yanayopenda vya kung'ara maana huyo mdada anayemsema ni cheupe.. wasukuma wanasema wapeeee. Ha haa aa haa....

- Dismas naona huyo bibi kakukera kweli. Ha haa haa...

Comment by Dixon Kaishozi on February 14, 2013 at 12:32

Hahahaa.. Wote wanao waponda WAHAYA.. ILE PICHA IMEWAGUSA!!! HAHAHAHAAAA... ukweli unajulikana.. pole Dismas.. Manka ndo umenimaliza kabisa kwa kupigia mstari eti wahaya.. AHAHAHAHAHAAA

Comment by manka on February 14, 2013 at 11:17

teheteheee@Dismas Mama Malaika  umemsikia Dismass ameona hicho kifaa hapo mbele ya huyo bibi.

Comment by Tulonge on February 14, 2013 at 11:04

Kuna kifaa kimoja nadhani hamjakiona. Na chenyewe kimeshika bendera mkono wa kushoto ina rangi ya njano na kijani.Ni kazuri balaa, nadhani kamefunika wote hapo.

Huyo bibi wa kulia ananitisha kweli.Yani haeleweki, tumbo liko wapi na kiuno kiko wapi.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*