Add a Comment
Hahahhahaaaa baba na watoto wote wamepinda
Unamuona Barack alivyo mtundu hapo unategemea watoto wake watakuwaje? Eti anachungulia kwenye kiji-panel cha Resolute desk na huyo mdada ni Caroline kennedy, ndiye mtoto aliyebakia hai wa marehemu JF Kennedy baada ya kaka mtu kwenye picha ya chini kufariki kwa ajali ya ndege aliyokuwa anaiendesha kuanguka baharini late 1990s. Nasikia Caroline na Obama ni marafiki wakubwa.
wababa wa ulaya waliozoea kimbizana na watoto wao kurushiana mito hadi vitandani wana utani hadi kazini. ha haa haa......
Hata JF Kennedy naye naye na umaarufu wake wote watoto wake walikuwa wamfata na kucheza ndani ya Oval office enzi za uhai wake huku yeye amekaa hapo mezani alipokaa Obama. Ngoja niitafute picha nikubandikie. Ha haa haaa.......
Kuna baadhi ya madingi ukiyaletea utani wakati wa kazi yanaweza kukuua.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge