piga namba hiyo chini hapo utatuliwe matatizo yako ....
Tags:
Add a Comment
Hapo naona alisahau kuandika hivi:
~KUPANDISHWA CHEO KAZINI
~KUWA NA AKILI NYINGI DARASANI
~KUREFUSHA NA KUNENEPESHA NANIHII ZA WANAUME
Ha haa haaa.... Chipoteka kweli ni chiboko, hadi Freemason. Naona tumkumbushe aongeze kwenye tangazo lake "KUJIUNGA NA SCIENTOLOGY"
Hii ndio Bongo
alienunua cheni katoa pesa bandia
alie uza cheni kauza cheni bandia
MTEJA NI MFALME NA MUUZAJI NI MFALMEE VILE VILE
Haaaaaa........ miminadhani wakijiung na freemanson wanapata mashetani sasa yeye anaweza kuwatoa hiyo maruani.....Duh sijawahi ona hii. wizi mtupu jamani...tuongee na Ridhiwani amwambie mshua hali halisi ya kitaa...njaaaaaa!!!
Hahahahaaa Duh! eti kiujiunga na freemason, sasa anatoa mafunzo ya kujiunga au nn?
chaogaaa!! eti kujiunga na FRee mason!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge