Add a Comment
Madogo wa muhustadh
huyo wa kiume huenda akawa mkwe wangu
mr. chaoga watoto wako ni wazuri sana! wanaitwa nani na nani nimewapenda
Mama ndio tunakimbilia uzee hivyo...
Teh teh teh usijifanye fundi wa kupangilia wewe. Hebu weka na picha za wale watoto wako wa2 uliowatelekeza pale Kwa Mtogole, usimsahau na yule mmoja wa Mbagala. Tuone kama kutakua na mpangilio hapo
wee disma mie napangilia bwana huyo ndio wa kwanza na wapili kama unavyomuona pembeni...
Safi sana, na hiki kidume ni chako?
Pendesaaaa nyieeeee....safi sana mkuuuuu...hongera saana!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge