Add a Comment
kama elimu itazidi kuwa mbovu, haitasaminiwa, faida yake, ni kuzalisha panya road kwa wingi, maana ukiwapeleka shule hakuna wanachopata, mtoto anaepata elimu bora hawezi kuwa panya road au mbwa mwitu, kwanza hapakubali kuitwa panya au mbwa,
mmmh kama itafikia hatua hiii,basi hali ni mbaya.
ha ha ha kunambi umenikumbusha mbali, sio mwalim kalinga kweli huyu...?
we Chaoga maji ya mende yanakutesa siku hizi haha haha haha mwalimu mfuni huyo
kweli kiteleweka tu
Walimu msifanye hivyo tafadhali, mtatuharibia watoto wetu.
Nitarudi badae.. Hii ni hatari!!
duh kazii ipo hapa!!
hakuna kitu muhimu kwa maendeleo ya nchi kama elimu. Sector ya elimu isipopata enough financial support basi nchi ina hatari ikawa kama kisima kilichochimbwa jangwani kusikokuwa na mvua wala chemchem ya maji ardhini.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge