Add a Comment
Hahahahahahaha..Nilishaga isahaugi hii picha..tehtehetehetehetehetehet Unamuona Omari kapiga na usingizi kabisa....
Hahahhahahahhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa WOMEN SPECIAL
@ Alfan hapo hata kwa mtutu hapandi mtu.. labda mi niwe dereva alafu niwapakie wanaume wote wa tulonge.. hahahahahaaa.. nawaendesha tu!! HAHAHAHAA
hahahahaaaa
Check kama huyo Mr Ranjeet kaweka na kishoka kabisa..thetehetheteheetehetehet!
Hahahaaa si angalau mashoga wanakaribiana na wanawake kitabia. Halafu wakikaa humo wanaona poa tu. Sasa hiyo midume ....
Lakini tukiacha utani hili basi likija pale posta mida ya saa kumi jioni halafu konda aseme anaenda mbagala au gongo la mboto..najua hakuna atakayeuliza limeandikwa nini zaidi ya kugombania kuingia ndani..!hahahahhahaha
hahahahahaha! Mi sijui kwani mashoga pia ni wanawake??!!!! thethetehetehetehet
Teh teh teh sasa hao ndani ni mashoga au?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge