Tulonge

Hebu ona kiuno hicho, kalio unaliona?

Views: 229

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Severin on May 26, 2014 at 12:59

Kwa kweli mimi nachanganyikiwa

Comment by maembe79 on December 18, 2013 at 12:55

yaani wewe  unachanganyikiwa baada kuwaona hawa wanadada hahahaa maajabu hayo!

Comment by Dunda on November 20, 2013 at 19:00

Mungu kaumba mbingu ardhi na vilivyomo ndani yake Ufalme wake utukuzwe

Comment by Severin on November 11, 2013 at 23:45

Hehehehehehhee yani mimi ningekua daktari wangekoma.Wadada wa dizaini hii ningekua naenda watibu nyumbani kwangu

Comment by CHA the Optimist on November 9, 2013 at 20:06

   

Comment by Mama Malaika on November 9, 2013 at 13:26
- Dismas usikumbushie ile video. Na yule alikuwa ni doctor wa kawaida tu, je angekuwa gynaecologist si ndio ingekuwa balaa??
Comment by Tulonge on November 9, 2013 at 12:58

Hahahhaa Severin angekua akiwanya kama yule daktari wa Ghana cjui Nigeria, aliyekua ana wananihii kabla ya kuwatoa mimba.Eti anatanua njia teh teh teh

Comment by ANGELA JULIUS on November 9, 2013 at 9:26

yani mamaMalaika wewe acha tuu na Mungu kwa vile ndo ametuumba anajua kila mtu ampe sawa na kwa ujazo gani.

Comment by Mama Malaika on November 8, 2013 at 16:58
Severin ungekuwa Gynaecologist wanawake wangekoma... Siajabu wengi wangekataa kutibiwa na wewe. Lol....
Comment by ANGELA JULIUS on November 6, 2013 at 13:18

severin sasa hapo umechanganyikiwa nini sema unakumbuka nini sidhani kama hilo umbile kwako ni geni kukutana nalo ha ha ha ?????? mkubwa wewe.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*