Geita – SERA ya mtoto ya mwaka 1996 inasema kuwa mtoto ana haki ya kulindwa na…
Started this discussion. Last reply by KUNAMBI Jr Jan 17, 2011. 4 Replies 0 Likes
1.Job Title : Accountant Source : Requirements : Degree /Advanced Diploma in Accountancy with a minimum of three (3) years in a similar position. Job Description :Perform variety of accounting tasks…Continue
Tags: mambo, hadharani, tumsaidie., aweke, ajira
KUNAMBI Jr has not received any gifts yet
Posted on November 6, 2012 at 15:00 8 Comments 0 Likes
‘’Huyo rafiki yake na baba, akamwabia baba yangu kwamba, ana kijana wake anataka kuoa. Baba akamwambia(rafiki yake), kwamba ampatie mahari kwani nyumbani kwake ana binti na ndiyo mimi. Hilo walikubaliana huko klabuni,’’alisema Sikitiko.
Posted on November 6, 2012 at 14:30 6 Comments 0 Likes
TUKIO la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Wenda, Kitongoji cha Lupeta, mkoani Iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina la Leonard Kutika (49) ukiwa umechunwa ngozi, hivyo kuvuta hisia kuwa wachuna ngozi wameibuka upya.
Posted on November 6, 2012 at 10:45 0 Comments 0 Likes
Kama inavyoonekana kwenye kiambatanisho hapo juu,kuna mradi umeshatangazwa kwa kujenda Bomba la kusafirisha gesi kutoka Mnazi Bay Mkoani Mtwara na Somanga Fungu Plant Mpaka Dar es salaam kwa Kilometa 540,ninachojivunia sasa Plant ya kuzalisha na kusafirisha gesi Mkoani Mtwara tayari imeshanunuliwa na Tanzania kupitia Kampuni tanzu ya Tanesco ambayo ni…
ContinuePosted on November 6, 2012 at 10:30 7 Comments 0 Likes
Daah,Kunambi upooo kweli.salamu zangu zikufikie huku ulipo.
HAPPY NEW YEAR!
Kaka, habari za wapi? Nimefurahi kuona uwepo wako tena! Karibu na siku njema!!
kaka wewe mzima?
Hujambo? Mama kapita kusalimia, sijui kuna togwa? nasikia kiu
Amani ipo hapa?
Karibu sana wangu
salaam ndugu.
Nakusalimu Boss.
Hv a great weekend.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by