Loading feed
ABD has not received any gifts yet
Added by ABD
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu. Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote. Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto. PamoJah
Hamjambo hapa jamani? Mama kapita kuacha salamu
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by