"Jikite kwenye Ibada mwanangu mungu akusaidie kwani kwavyovyote vile utakuwa umeasirika kisaikolojia kwa hili tukio kulingana na umri wako. Na itakusaidia kuwa na muonekano mpya mbele za jamii inayokuzunguka. kila la kheri mamy."
Amina Massawe has not received any gifts yet
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by