Kijana mwenzenu natafuta mbia wa kufanya naye biashara ya ukamuaji na uuzaji wa mafuta ya alizeti. Mashine za kukamua zipo, ghala ya kuhifadhia mazao lipo, mbia anatakiwa kuwa na mtaji wa kununua alizeti. Soko la mafuta pia lipo.Aliyetayari kuingia kwenye ubia apige simu O655769699 au atume ujumbe wake kupitia barua pepe bkillagane@yahoo.comKijana mwenzenuSukuruSee More
Ili kuweza kujiletea maendeleo, ni wajibu wa kila kijana kuweza k uwajibika kila mmoja kwa nafasi yake ili kuweza kujiletea fifa nzuri. Hebu tuwajibikeni kama vijana na tunaofukuzana na ushindani wa sayansi na Teknolojia ili tuweze kufikia malengo yetuSee More
Karibuni wadau wote kwenye kundi hili muhimu kuhusu tiba na afya zetu. Mnakaribishwa kuchangia na kubadirishana mawazao kuhusu Tiba Mbadala iwe kuhusu toka kwenye mimea, viungo, chakula, matunda, vinywaji, wadudu, n.k.Tiba Mbadala yatumika dunia nzima. Hata waingereza walogundua antibiotic na dawa nyingine nyingi bado wana thamini na kuendeleza Tiba Mbadala (e.g. vitunguu swaumu kwa High Blood Pressure na moyo mkubwa). Iwapo mtu amepata article yeyote kuhusu Tiba Mbadala pahala naomba sana…See More