Started this discussion. Last reply by Bonielly Jan 15, 2013. 26 Replies 0 Likes
Wapendwa wa tulonge mke wangu amejifungua trh 29 november amejifungua mtoto wa kiume, amejifungua salama mama anaendelea vizuri na mtoto anaendelea uzuru kabisa. sijaweka picha kwa sababu tangu mtoto…Continue
Started this discussion. Last reply by Mama Malaika Feb 21, 2012. 9 Replies 0 Likes
paka msalabani, wanastaili azabu gani hawa watu?Continue
Started this discussion. Last reply by Mama Malaika Feb 21, 2012. 2 Replies 0 Likes
CHEKI WABONGO NOMA, MCHEKI HUYU PAKA ANAVYOSURUBIWA,Continue
Started this discussion. Last reply by Tulonge Feb 14, 2012. 1 Reply 0 Likes
NDOA ZITAZOVUNJKA=24%FUMANIZI=48%MAUZO YA CONDOM=65%WA2 WATAKAOZINI=97%WATAKAOPIGA KAVU 82%VITANDA VITAVYO VUNJIKA=18%MAMBUKIZ YA HIV=56%WATAOPATA WAPENZ WAPYA=79%MAHUDHURIO YA GEST=79%KUTUMIKA KWA…Continue
Jembeee vipi....salimia yoteee huko...bom bom wamepata jiko...mama ntilie kanuna...hahahahahaha
Pole na majukumu kaka Bonielly.
Naamini upo pouwa.
Bonielly eeee umemuona Mama Malaika alivo muongo misemo gani amejifunza toka kwangu mimi wala sijampa misemo, na hiyo aliyopata toka kwako ni ipi hiyo manake wewe ni hapa majuzi tuu ndo umepata nafuu usije ukawa umempa ile misemo uliyofundishwa na yule rafiki yako aliyekupokea kuleeee nilikokupelekaga ha hah a
UMENIMISS EEEEE NILIJUA TUUUU HATA MIMI NIMEKUMISS PIA.
MPE SALAMU MWANANGU NA MAMA YAKE OH NIMESAHU KUMBE UNA WATOTO WENGI KAMA TIMU YA MPIRA WAPE SALAMU ZANGU WOTEE.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by