Tulonge

ILYA
 • Male
 • Tehran
 • Iran
Share on Facebook MySpace

ILYA's Friends

 • chris deol
 • stephen john
 • habiba mustafa mlawa
 • Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.
 • Joseph Mwaisango
 • getrude peter
 • anastazia mmbando
 • Holiness Bangereza
 • Malisa KILI
 • evelina ibalaja
 • Maryam
 • Dennis Karis
 • salma khamis haji
 • Mazeejoh
 • Georgia Mushashu

ILYA's Discussions

Breaking News:KUHUSU "AZAM MARINE" ILIYOKUWA IKITOKA DAR KUELEKEA ZANZIBAR!.

Started this discussion. Last reply by MGAO SIAMINI,P Feb 23, 2013. 5 Replies

                            Breaking News:Salam kwako ndugu mdau:Boti ya "Azam Marine"…Continue

KWA NINI MISAADA KUTOKA NCHI ZA MAGHARIBI KWA AFRIKA ISIITWE 'DEAD AID' ?!

Started this discussion. Last reply by ILYA Jun 1, 2012. 8 Replies

Ndugu Mdau, leo hii naomba tulitizame Bara la Afrika.Tuzungumze walau kwa ufupi kuhusu…Continue

Wewe una mtazamo upi kuhusu hili?!

Started this discussion. Last reply by ILYA May 12, 2012. 10 Replies

  Wanawake mnaweza kukoment na wanaume mkalike. Kura zitahisabiwa na majibu yatatolewa. Na…Continue

Ni kipi kinachoumiza zaidi?

Started this discussion. Last reply by ILYA Jan 30, 2012. 2 Replies

When a person whom you trust, hurts you;OrThe person whom you hurt, still trusts you? JustThink…..!Continue

Gifts Received (1)

 

Welcome, Chalii_a.k.a_ILYA!

Latest Activity

Neema Thomas left a comment for ILYA
"Salama habari za Cku shehe..."
Jun 11, 2015
ILYA left a comment for Neema Thomas
"Neema Habari mzima"
Jun 9, 2015
ILYA left a comment for ILYA
"Niiiiipo"
May 13, 2015
ILYA posted a status
"Amani kwa wote ndugu....bila shaka hamjambo Nyote Hapa. nawamic aisee"
May 10, 2015
ILYA commented on Tulonge's blog post Maandishi juu ya vest ya Diamond yawa sababu ya kufungiwa kwa video ya Dully Sykes
"BASATA bwana wanavioja video tunayo tayari kwenye majumba yetu sasa wanazuia nini na ishafika You Tube!"
Apr 10, 2014
ILYA commented on Tulonge's blog post Wadau wa tulonge wafunga pingu za maisha
"Saaafi sana.Hivi nilikuwa wapi mpk nimechelewa kuona hapa.Haya ndio mambo napendaga kuona mie mistake ya pekee niloifanya ni kukosa hapo katika harusi .. ila hakuna shaka kila kitu kilikwenda sawia barabara.Honegereni sana wakuu kwa kukamilisha hilo…"
Apr 10, 2014
Mama Malaika left a comment for ILYA
"((((((((((((((((((( ILYA ))))))))))))))))"
Nov 15, 2013
habiba mustafa mlawa and ILYA are now friends
Nov 13, 2013
ILYA commented on Tulonge's blog post Video:Meli yenye usajili wa Tanzania yakamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya £50 million bahari ya Mediterranean
"Kwa bahati nzuri ndani ya meli hiyo hakuwepo Mtanzania hata mmoja lakini kwa bahati mbaya meli hiyo iliyokuwa imebeba mzigo huo haramu imesajiliwa nchini Tanzania kwa maana kabla ya wao kupakia mzigo huo ni lazima wapate kibali kutoka Tanzania…"
Sep 9, 2013
samweli ringo liked ILYA's photo
Jul 2, 2013
Wa Kimberly left a comment for ILYA
"Hujambo wewe."
Jun 7, 2013
ILYA updated their profile
May 11, 2013
ILYA commented on Tulonge's blog post Brazil ya sasa si ile ya enzi hizo ktk soka, hata kwenye 10 bora ya viwango vya FIFA haipo
"Braizil imeisha,tunakuja sasa Taifa stars kuchukua nafasi yao,maana Taifa stars ya sasa si ile ya enzi zile iliyokuwa ikiboa katika soka!.Hii Stars ya sasa ni inakuja moto,hivyo Brazil na wenzao wakae mkao wa kula.Na sasa kidooogo tumeanza kupata…"
May 11, 2013
ILYA replied to Tulonge's discussion Mke mkweli.. in the group Cheka Unenepe
"si mchezo,wenye mapigo ya moyo badala ya kupiga lazima yadunde kwa kusikia ukweili huo!.ndio maana wahenga wasema usipende kuuliza sana maana unaweza kujibiwa ukaumizwa na majibu!."
May 8, 2013
ILYA replied to Christer's discussion Teacher & Akpos in the group Cheka Unenepe
"Hapo ticha lazima atulie!."
May 8, 2013
ILYA commented on Tulonge's blog post Huwezi amini kama hii njemba shoga, ni Jason Collins 'NBA player'.
"Ushoga noma,lakinini noma kwetuAfrica,ama huko majuu ushoga dili,usipojitangaza utakosa soka,inabidi kama hivyo unachangamka kwa kujiweka wazi ili wamiminike wajanja!.Najivunia kuwa Mwafrica wa Bara la Africa hasa Mtanzania maana huo uchafu sio…"
May 8, 2013

Profile Information

Occupation
Student
Email Address
tzchalii@yahoo.com
Phone No
-

ILYA's Photos

 • Add Photos
 • View All

Comment Wall (98 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 16:29 on June 11, 2015, Neema Thomas said…

Salama habari za Cku shehe...

At 23:21 on May 13, 2015, ILYA said…
Niiiiipo
At 20:13 on November 15, 2013, Mama Malaika said…
((((((((((((((((((( ILYA ))))))))))))))))
At 10:33 on June 7, 2013, Wa Kimberly said…
Hujambo wewe.
At 7:50 on February 16, 2013, Tulonge said…

Pa1 sana kaka, japo siku hizi sizioni zile stori zako

At 0:29 on February 16, 2013, eddie said…

Happy birthday mkuu! Nakutakia afya njema uwe na mafanikio pia katika shughuli zako. 

At 20:36 on February 15, 2013, Tulonge said…

Kamata keki ya kisela hiyo. Achana na zile keki za kibishoo

At 20:34 on February 15, 2013, Tulonge said…

Happy Birthday mkuu

At 15:22 on February 15, 2013, Mama Malaika said…

Happy Birthday! Mkwe uko kimya sana, vipi familia wote wazima?

At 11:01 on February 15, 2013, Dixon Kaishozi said…

HERI YA KUZALIWA.. WAGUIYUKAYO OMWAKA. OMUKAMA AKUBELE!! PAMOJAH SANA!

ILYA's Blog

Breaking newz!

Posted on July 18, 2012 at 17:00 2 Comments

 

Ni habari za faster,na  zingine za haraka zikiwemo zile  aina ya Breaking newz zilizonifikia mida hii kwamba hivi sasa meli ya inayoitwa SEAGUL iliyobeba abiria 200ipo inazama katika bahari ya Hindi.Meli hiyo ilikuwa inatokea Dar City kuelekea Zanzibar.

Na hivi sasa ninavyoandika…

Continue

Sababu kuu 2 za kimsingi ambazo hupelekea watu kuelekea katika utumiaji wa pombe na kuathiri vibaya maisha yao!.

Posted on June 21, 2012 at 0:30 5 Comments

Ndugu Mdau:

Nazungumza swala hili na wala sibahatishi, bali nina uhakika kuwa:Utumiaji ulevi (hasa wa pombe) una taathira mbaya za kimwili na kiroho kwa mtumiaji, kiasi kwamba, baadhi ya madhara na athari zake haziwezi kufidika. Hii leo utumiaji ulevi umegeuka katika…

Continue

Chavez: Venezuela imefanikiwa kutengeneza Drone ya kwanza nchini humo kwa msaada wa Iran.

Posted on June 15, 2012 at 17:23 5 CommentsRais wa Venezuela Hugo Chavez amesema kwamba nchi yake kwa mara ya kwanza imefanikiwa kutengeneza ndege ya kwanza ya kivita isiyokuwa na rubani {-unmanned aerial vehicle…

Continue

Pande za China: Mtoto aokolewa maisha yake,almanusura aanguke kutoka ghorofa ya 4 !!.

Posted on June 12, 2012 at 16:30 4 Comments

Sio siku nyingi,ni siku tatu tu zimepita tangu tusome habari hapa tulonge iliyomhusu mtoto kuponea chupuchupu kuliwa na simba katika Zoo moja inayokwenda kama ifuatavyo:Bahari Zoo.Ni zoo inayopatika katika jiji  nene la Dar -es- Salaam,maeneo ya Tegeta.

Habari hiyo ilikuwa inatia hofu kubwa kwa moyo ukizingatia hatari yenyewe "Simba", na…

Continue
 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*