Tulonge

Chris deol
 • Male
 • DAR ES SALAAM
 • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

Chris deol's Friends

 • CAESAR KIHORO
 • Regina Lipyana Haule
 • Ibrahim Tunde
 • Holiness Bangereza
 • Georgia Mushashu
 • Belita
 • Mama Malaika
 • Moreen
 • Diana
 • Tulonge

Chris deol's Discussions

natafuta figo

Started this discussion. Last reply by Omary Mar 15, 2013. 19 Replies

msahada mi nandugu yangu anasumbuliwa na figo na inahitajika abadilishiwe figo lake moja co nahitaji kujua itachukuwa kiasi ngani cha fedha kununua hilo figo na ninaweza kulipata wapi naumbeni msaada…Continue

Gifts Received

Gift

Chris deol has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Chris deol's Page

Latest Activity

Mama Malaika left a comment for Chris deol
"Wazima pande hii??"
Jan 31, 2015
Holiness Bangereza and Chris deol are now friends
Jul 25, 2013
Chris deol posted a discussion
Mar 27, 2013
Chris deol commented on Tulonge's blog post Hebu angalia sifa kubwa ya watu wa mkoa wako, ni kweli?
"haya bana"
Mar 22, 2013
Omary replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Hahahahahah Joan Bangi hizo, hebu niletee mimi hizo figo za ng'ombe tena uwe umeshazirost niletee na chapati kama 7 hivi nitakushukuru kinoma lol msos wa usiku freshiiiiiiiiiiiii "
Mar 15, 2013
Joan replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Mtu mwenyewe hata picha yake halisi hajaweka. Kweli upo serious wewe? Hebu weka kwanza picha zako halisi kama tano hivi."
Mar 14, 2013
Joan replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Mimi ninazo figo za ng'ombe sita, zipo nyumbani"
Mar 13, 2013
Mama Malaika replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Kama alivyosema Omary... hivi sasa ni vigumu kuaminiana hasa kwa mtu ambaye kaingia Tulonge sasa tu na kuomba msaada wa figo. Kiufupi... it's illegal kulipia human organ kwa njia ya cash or gifts haijalishi iwe figo, ini, body tissue, jicho,…"
Mar 13, 2013
Mama Malaika replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Ple sana kuuguliwa na ndugu yako. Iwapo hakuna family members na marafiki wa karibu wanaoweza kujitolea nakuomba uende kwa hiyo hospital waliyoshauri kupata figo wao watakusaidia procedures za kupata kidney transplant or living donor ambaye…"
Mar 13, 2013
Omary replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Jamani me nina wazo hivi akienda muhimbili akaongee na wale watu wanaohudumia watu ambao ma doctor wameshindwa kunusuru uhai wao hawezi kupata? au ile itakuwa haifanyi kazi? maana mwenyewe anaezitumi hayupo bora figo zake zitumike kusaidia watu…"
Mar 13, 2013
MGAO SIAMINI,P replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"TATIZO HUYO NDG HAJAOMBA MSAADA  ANATAKA KUJUA ZINAKOPATIKANA, BEI YAKE NA ATANUNUA.SASA HUYU ANATANGAZA BIASHARA YA FIGO TUWE MAKINI LABDA BIASHARA ZA NGOZI ZA BINADAMU,VIUNGO VYA SIRI NA VIUNGO VYA ALBINO ILIANZA HIVI."
Mar 13, 2013
Omary replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Doh! kiukweli inawezekana mwenzetu anauguliwa au amekuja kutupima imani ila dunia kwa sasa imehalibika mno humjuinani mzuri nani mbaya hivyo inatupa woga kuamini moja kwa moja pili wewe ni mgeni hapa kijijini so tunajiuliza kama isingekuwa ugonjwa…"
Mar 13, 2013
Tulonge replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Hapana Geoffrey, hata matatizo tunasaidiana ndomaana kuna kuna mfuko wa kuchangia watoto yatima http://tulonge.com/group/mfukowawatotoyatima"
Mar 12, 2013
Geoffrey Masai replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Hee! kumbe tulonge ni sehemu ya kupashana habali za furaha tu sio matatizo?"
Mar 12, 2013
steward kalinga replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Hilo swala hapa sio mahala pake, Tulonge hatuna biashara ya figo. Nakushauri nenda hospitali mbalmbal esp.mhimbili watakuelekeza utaratbu wa kupata figo...  Lakini pia kwa nin usimpatie ya kwako huto nguguyo,?  kiufupi swala lako ni gumu…"
Mar 11, 2013
Christer replied to Chris deol's discussion natafuta figo
"Kweli kbs @ Trien. Pole sana Chris."
Mar 11, 2013

Profile Information

Occupation
no
Email Address
chrisdeol01@gmail.com
Phone No
+255653948951

Comment Wall (2 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 12:24 on January 31, 2015, Mama Malaika said…
Wazima pande hii??
At 8:48 on March 4, 2013, Georgia Mushashu said…

Unakaribishwa sana

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*