Started this discussion. Last reply by ILYA Jun 23, 2012. 22 Replies 0 Likes
Naomba tafsiri ya sentensi hiiii katika kiswahili "finish eating, and then I shall eat you"Continue
Started this discussion. Last reply by jemadari mimi Oct 24, 2011. 4 Replies 0 Likes
MBUNGE wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), amehoji bungeni sababu za serikali kutangaza utalii wa nchi kwenye noti kwa kuweka picha za wanyama akiwemo nyoka.Lusinde alihoji kwa maelezo kwamba alama…Continue
Added by Don M
Added by Don M
Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana.
fichwa sana mjomba
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Happy Birthday mfukuza upepo
hodiii
Happy Birthday!!
Nimepita kukujulia hali. Vipi wazima wote?
jeder hier, hat dich vermisst.....was treibest du???
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by