"Ha haaa.... Jirani mambo mengi, nilikuja June for few days na family nikitokea Kenya (kikazi) tena tulifika hadi Mbweni JKT, tatizo sijui Block and street unayoishi la sivyo tungepiga hodi. Next time nikija nitajitahidi nikutafute tuonane, tel no.…"