Hakuna cha kukunyima George karibu w'kend ndo hiyo inakaribia sasa
Niko pouwa sana George mambo yako vipi?
AKUUUU SIJAFICHWAAAA
Hivi upo ww kijana mtanashati yaaani acha tuuu
Nipo George,hofu kwako tuu.
Hello,vp mambo George,nipo okey asante kunikumbuka.
Nakutakia wakati mzuri.
kaka george nakutakia wakati mzuri.
umependeza na tai yako kaka
Karibu sana Moreen, nilikumis sanaaaa nimejisikia furaha kukuona tena kijijini kwetu. Vipi huko uliko kuwa mambo yamekwenda vizuri lakini?
Kaka George upo? Nilikutupa kidogo ila nimerudi.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by