"DAWA YA MALARIA:Chukua majani ya mpapai yale ya mwishoni viganja 2, magome ya mbuyu 1kg, majani ya mchungwa viganja 2, majani ya mwembe viganja 2, majani ya ndimu viganja 2 na maji lt3 changanya kisha chemsha dk15. kunywa kila baada ya masaa 2…"
Karibuni wadau wote kwenye kundi hili muhimu kuhusu tiba na afya zetu. Mnakaribishwa kuchangia na kubadirishana mawazao kuhusu Tiba Mbadala iwe kuhusu toka kwenye mimea, viungo, chakula, matunda, vinywaji, wadudu, n.k.Tiba Mbadala yatumika dunia nzima. Hata waingereza walogundua antibiotic na dawa nyingine nyingi bado wana thamini na kuendeleza Tiba Mbadala (e.g. vitunguu swaumu kwa High Blood Pressure na moyo mkubwa). Iwapo mtu amepata article yeyote kuhusu Tiba Mbadala pahala naomba sana…See More
"hivi huko kuna wabunge kweli? na kama wapo inakuwaje wanataka lipwa mishahara mikubwa wakati watoto wao wanapata tabu ya madawati na mabweni? shule imekuwa kama wanasom wakimbizi kumbe ni watanzania wenzetu!!! jamani serekali tazame swala hili kw…"
"hawa jamaa hawakumtendea haki huyo marehu pamoja na familia yake hata kama ni utani patachimbika na vumbi kutimka kama mimi ndo mfiwa.............!!!!!!!!!!"