Hashim Said has not received any gifts yet
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Abeee! Nimeitikia, lol.... Nimefurahi kusikia toka kwako. Natumai uko mzima wa afya.
Hashim bin Said, habari ya siku tele? Naona twapishana tu kijijini, Arusha watunyima nini? Nakutakia weekend njema
Hamna shaka mkuu, nikitia maguu huko lazima niwasake.Pa1 sana
Kwema kabisa ndugu!!! yeah inatokea tunapotezana kidogo kutokana na pilikapilika za hapa na pale. kikubwa uzima!! Nashukuru kusikia kutoka kwako. Siku njema!!!
Hashim mambo?
Kaka tupo JIJI MOJA ? Nimekukumbuka ndugu yangu,.. siku njema!
Hamjambo?
Amani ipo hapa?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by